CBC Grade 1 Kiswahili Exam · Question 3
Kusoma — Soma sentensi hizi kwa sauti, kutoka juu hadi chini. Rekodi sentensi zote tano kwa rekodi moja. Mwalimu anafunza. Yule ni mbwa wetu. Andika kitabu.…
From Kiswahili — Kiswahili Kusoma Section A · 5 marks · Topic: Mwili Wangu, Kusoma kwa Ufasaha Sauti (/s/, /b/, /y/, /z/, /g/, /d/)
Kusoma — Soma sentensi hizi kwa sauti, kutoka juu hadi chini. Rekodi sentensi zote tano kwa rekodi moja.
Mwalimu anafunza.
Yule ni mbwa wetu.
Andika kitabu.
Maji yamemwagika.
Wanafunzi wanacheza.
Answer
Mwalimu anafunza. Yule ni mbwa wetu. Andika kitabu. Maji yamemwagika. Wanafunzi wanacheza.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.