CBC Grade 1 Kiswahili End Term 3 Exam 2026 · Question 30
Nyoka alikuwa na ___
From Kiswahili — End Term 3 Assessment 2026 · 1 mark · Topic: Kusoma, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
7. Soma hadithi kisha ujibu maswali
Hapo zamani za kale Jongoo na Nyoka walikuwa marafiki. Jongoo alikuwa na macho Nyoka naye alikuwa na miguu. Siku moja Jongoo alialikwa kwenye harusi. Alimwomba rafiki yake Nyoka miguu. Alitaka kufika kwenye harusi haraka.
3) Nyoka alikuwa na ____
Answer
miguu
Hadithi inasema: "Nyoka naye alikuwa na miguu."
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.