CBC Grade 1 Kiswahili End Term 2 Exam 2025 · Question 30
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini kwa darasa. Mwalimu wetu huitwa Lea na…
From Kiswahili — Kiswahili End Term 2 (2025) · 1 mark · Topic: Tarakimu, Kusoma kwa Ufahamu Kifungu
Soma ufahamu huu kisha ujibu swali.
Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini kwa darasa. Mwalimu wetu huitwa Lea na kila mara tufikapo hutusalimu hamjambo, kisha anajukua vitabu vyetu kusahisha kazi alilotupa tufanye nyumbani. Ni mwalimu wa somo la Kiswahili.
Mwalimu wa somo la Kiswahili huitwa nani?
Answer
Lea
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini…Question 31
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini…Question 32
- Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Mimi ni Eva mwanafunzi wa gredi la kwanza shule ya Nehema. Tuko wanafunzi ishirini…Question 33
- Mwalimu: Jambo? Jibu kwa sauti.Question 1
- Mwalimu: Kwa majina unaitwaje? Jibu kwa sauti.Question 2
- Mwalimu: Je, unapenda kusafiri kutumia chombo gani? Jibu kwa sauti.Question 3