CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam 2025 · Question 39
Tumia kivumishi cha sifa kinachofaa katika pengo: "Kitabu ___ kimejaa maarifa."
From Test 114 — Kiswahili Karatasi ya 1 (901/1) — KEJSEA 2025 · 1 mark · Topic: Sarufi, Aina za Maneno
Tumia kivumishi cha sifa kinachofaa katika pengo: "Kitabu ____ kimejaa maarifa."
Answer
Kitabu kizuri kimejaa maarifa.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.