CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Practice Exam · Question 15
Eleza umuhimu wa maelezo yaliyoandikwa kwa herufi za mlazo katika sehemu hii ya tamthilia.
From Test 111 — Kiswahili Karatasi ya 2 (Insha na Utangulizi wa Fasihi) (KJSEA) · 2 marks · Topic: Fasihi, Tamthilia
Eleza umuhimu wa maelezo yaliyoandikwa kwa herufi za mlazo katika sehemu hii ya tamthilia.
Answer
1. Kueleza mazingira/mandhari ya tamthilia (k.m. "Ni nyumbani kwa Bi. Zawadi..."). 2. Kuonyesha matendo na hisia za wahusika ambazo hazingeweza kujulikana kutoka kwa maneno peke yake (k.m. "Huku akijisemea", "anaipokea kwa furaha").
Angalia mwongozo wa kusahishi/kigezo cha alama.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 9 Kiswahili questions from this test
- Eleza mbinu mbili za lugha zilizotumika katika sehemu hii ya tamthilia.Question 16
- Eleza ujumbe wa shairi hili.Question 17
- Ni wahusika gani wanashauriwa katika shairi hili?Question 18
- Bainisha mbinu mbili za lugha zinazojitokeza katika ubeti wa pili.Question 19
- Ulikuwa na mipango ya kuhudhuria sherehe muhimu ya rafiki yako, lakini kwa sababu zisizoweza kuepukika, hukuweza…Question 1
- Bainisha kipera cha hadithi hii.Question 2