CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Prediction Exam · Question 43
Wingi wa neno "jicho" ni:
From Test 104 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Prediction Series) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu C, SEHEMU C · Sarufi na Matumizi ya Lugha
Wingi wa neno "jicho" ni:
- AMacho
- BVijicho
- CShicho
- DMajicho
Answer
A. Macho
Jibu sahihi: A. Macho — "Jicho" hubadilika kimaumbo kuwa "macho" katika wingi.