CBC Grade 9 KJSEA Kiswahili Prediction Exam · Question 34
Kielezi sahihi katika sentensi hii ni: Aliimba kwa sauti nzuri.
From Test 104 — Kiswahili Karatasi ya 1 (KJSEA Prediction Series) · 1 mark · Topic: Karatasi ya 1 — Sehemu C, SEHEMU C · Sarufi na Matumizi ya Lugha
Kielezi sahihi katika sentensi hii ni: Aliimba kwa sauti nzuri.
- AAliimba
- BKwa
- CSauti
- DNzuri
Answer
B. Kwa
Jibu sahihi: B. Kwa — Kwa mujibu wa mwongozo wa kusahihisha, "kwa" (sehemu ya kielezi cha jinsi "kwa sauti nzuri") ndicho kinachotambuliwa hapa.