naQonda

CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 19

Linganisha umoja na wingi wa maneno haya. Gusa neno upande wa kushoto, kisha gusa wingi wake upande wa kulia.

From Revision 5 Kiswahili Activities · 4 marks · Topic: Familia, Umoja na Wingi wa Majina

Linganisha umoja na wingi wa maneno haya. Gusa neno upande wa kushoto, kisha gusa wingi wake upande wa kulia.

Answer

Kalamu - kalamu; Dawati - madawati; Kitabu - vitabu; Mkono - mikono

Kalamu → kalamu, Dawati → madawati, Kitabu → vitabu, Mkono → mikono. Kila jozi sahihi inakupa alama moja.

Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.

Answer this test freeGet it marked: create a free account

More Grade 1 Kiswahili questions from this test