CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam · Question 4
Mwalimu: “Mwalimu hutumia nini kuandikia ubaoni?” Jibu kwa sauti.
From Revision 5 Kiswahili Activities · 1 mark · Topic: Darasani, Maamkuzi na Maagano
Mwalimu: “Mwalimu hutumia nini kuandikia ubaoni?”
Jibu kwa sauti.
Answer
Mwalimu hutumia chaki.
Mwalimu huandika ubaoni kwa chaki, au kalamu maalumu ya ubao.
Written answers can be worded differently: naQonda marks your own answer and explains it when you sign up free.
More Grade 1 Kiswahili questions from this test
- Mwalimu: “Nitajie marafiki wako walio katika darasa lenu.” Jibu kwa sauti.Question 5
- Soma hadithi hii kwa sauti.Question 6
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Nyani ana watoto wangapi?Question 7
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la kwanza (b).Question 8
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Watoto hao wanaitwa (b) ___ na (c) ___. Andika jina la pili (c).Question 9
- Soma hadithi kisha ujibu swali: Wanacheza mpira wa ___.Question 10