CBC Grade 8 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 6) (Test 44)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 6) · Revision 2026 (Booklet 6) · 20 questions
Topics: Kuandika, Fasihi.
All 20 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI I: INSHA Tunga insha ya urefu wa kati ya maneno 300 – 350. Simulia kisa kitakachodhihirisha ukweli wa kauli…Answer: Kijiji chetu cha Mwangaza kilikuwa na kijana mmoja aitwaye Juma, ambaye wazazi wake walikuwa maskini…
- Question 2: a) Bainisha aina ya hadithi hii kulingana na maudhui yake. (al. 2)Answer: Kisasili – inahusu imani ya jamii kwa Mola na asili ya matambiko ya kuomba mvua.
- Question 3: b) Ni changamoto gani iliyoikabili jamii ya Walulu na walijaribu vipi kuitatua? (al. 2)Answer: Ukame uliokausha mto na kudhoofisha mifugo; wazee walifanya kikao na Mzee Mwenye akawaongoza vijana mlimani…
- Question 4: c) Taja mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika masimulizi haya. (al. 2)Answer: Methali – "kilicho na mwanzo kina mwisho"; uhuishaji – "ardhi yetu inalia".
- Question 5: d) Eleza sifa mbili za Mzee Mwenye zinazojitokeza katika simulizi. (al. 2)Answer: Mwenye hekima – alijua suluhisho; kiongozi bora – aliwaongoza vijana hadi kileleni.
- Question 6: e) Kama ungetakiwa kuwasilisha hadithi hii kwa hadhira, ungetumia vifaatokezi gani kuboresha uwasilishaji wako? (al. 2)Answer: Ngoma au kayamba wakati wa wimbo, na ishara za mikono juu kuonyesha maombi.
- Question 7: a) Kazi ya fasihi huwa na madhumuni maalum. Fafanua madhumuni ya sehemu hii ya novela. (al. 2)Answer: Kuhimiza jamii kuthamini elimu na bidii kama njia ya kujikwamua kutoka kwenye umaskini.
- Question 8: b) Umaskini ni mandhari ya hali inayojitokeza katika sehemu hii ya novela. Eleza aina nyingine mbili za mandhari (mahali na wakati)…Answer: Mahali: shuleni / kijiji cha Baraka; wakati: alipokuwa gredi ya sita na baada ya kuhitimu.
- Question 9: c) Shupavu ni mhusika mwenye bidii. Bainisha sifa nyingine mbili za Shupavu. (al. 2)Answer: Kiongozi bora na mkarimu (aliwajengea wazazi nyumba).
- Question 10: d) Ploti ni mtiririko wa matukio katika kazi ya fasihi. Eleza mfuatano wa matukio muhimu katika aya ya nne na ya tano. (al. 2)Answer: Alihitimu sekondari, akajiunga na chuo kikuu cha kilimo kwa ufadhili; kisha akateuliwa mshauri mkuu wa…
- Question 11: e) Tambua mbinu mbili za lugha (mfano: Majazi au Tashhisi) zilizotumiwa katika sehemu hii ya novela. (al. 2)Answer: Majazi – "Shupavu" na "Mzee Maskini"; tashbihi – "umaskini ulikuwa umepiga mizizi kama mti wa mbuyu".
- Question 12: a) Bainisha aina mbili za mandhari katika sehemu hii ya tamthilia. (al. 2)Answer: Mahali: afisini mwa Bwana Safi; wakati: jioni.
- Question 13: b) Eleza mambo mawili yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya tamthilia. (al. 2)Answer: Uharibifu wa mazingira – mto umegeuzwa jaa na viwanda vinatupa sumu; umuhimu wa uhifadhi – kampeni ya…
- Question 14: c) Fafanua sifa za Uhayawani kama zinavyojitokeza katika sehemu hii ya tamthilia. (al. 2)Answer: Mzalendo / mwanamazingira – analeta malalamishi kuhusu mto; jasiri – yuko tayari kuongoza vijana katika…
- Question 15: d) Eleza umuhimu wa maneno yaliyotiwa kwenye mabano katika sehemu hii ya tamthilia. (al. 2)Answer: Yanaeleza mandhari na matendo au hisia za wahusika, ili kumwongoza mwigizaji.
- Question 16: (e) Mbinu ya methali imetumiwa katika sehemu hii. Tambulisha mbinu nyingine mbili za lugha zilizotumika. (al. 2)Answer: Tashbihi – "kama upapi wa muwa"; sitiari – "mto ni kaburi la viumbe wa majini".
- Question 17: a) Eleza dhamira ya shairi hili. (al. 1)Answer: Kuhimiza uzalendo, umoja na bidii ili kuleta maendeleo ya nchi.
- Question 18: b) Shairi hili ni shairi la aina gani? (al. 1)Answer: Tarbia – lina mishororo minne katika kila ubeti.
- Question 19: c) Ni nani anayelengwa na ujumbe wa shairi hili? (al. 1)Answer: Wananchi wote, hasa vijana.
- Question 20: d) Bainisha mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika shairi hili. (al. 2)Answer: Tashbihi – "mashamba kama zulia"; uhuishaji – "ardhi inayolia".