CBC Grade 7 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision 2026 (Booklet 5) (Test 29)
Kiswahili — Revision 2026 (Booklet 5) · Revision 2026 (Booklet 5) · 20 questions
Topics: Kuandika, Kusoma.
All 20 questions with answers
- Question 1: SEHEMU A (Alama 15) ZOEZI I: INSHA MAAGIZO: (i) Unashauriwa kutumia muda usiozidi dakika 40 kuandika insha hii. (ii) Insha yako iwe na…Answer: MVUMILIVU HULA MBIVU Wahenga hawakukosea waliposema kwamba mvumilivu hula mbivu. Methali hii inamaanisha…
- Question 2: a) Eleza mandhari ya mahali na hali yanayojitokeza katika aya ya kwanza. (al. 2)Answer: Mahali: kijiji cha Nuru kilichozungukwa na vilima vya dhahabu na mlima wa Tumaini. Hali: amani na furaha…
- Question 3: b) Ni janga gani lililovamia koo ya Wajuzi na ni hatua gani ya kishujaa ilichukuliwa na Busara? (al. 2)Answer: Janga la Maradhi (magonjwa) yaliyowadhoofisha watu; Busara alienda usiku kwenye chemchemi ya Maisha pangoni…
- Question 4: c) Taja mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika masimulizi haya. (al. 2)Answer: Tashbihi: "watu walidhoofika kama majani ya kiangazi". Istiara: "Busara alibaki kuwa ngao ya kijiji chake".
- Question 5: d) Fafanua sifa mbili za mhusika Busara zinazomfanya awe kielelezo katika jamii yake. (al. 2)Answer: Jasiri: hakuhofu giza wala pango la kiza. Mwenye hekima: alijua mahali pa kupata suluhu na alitumia…
- Question 6: (e) Kama ungetakiwa kuwasilisha hadithi hii kwa njia ya simulizi, ungetumia mbinu gani ili kuivutia hadhira yako? (al. 2)Answer: Ningetumia miondoko na ishara (kupiga magoti, kuimba wimbo), na kubadilisha toni ya sauti.
- Question 7: a) Kazi ya fasihi huwa na madhumuni maalum. Fafanua madhumuni ya sehemu hii ya novela. (al. 2)Answer: Kuhimiza umuhimu wa elimu na bidii: inaonyesha jinsi elimu inavyomtoa mtu kutoka ufukara hadi kuwa mkombozi…
- Question 8: b) Ufukara ni mandhari ya hali inayojitokeza. Eleza aina nyingine mbili za mandhari (mahali na wakati) zinazojitokeza katika sehemu hii ya…Answer: Mahali: mji wa Tumaini, shuleni na chuo kikuu cha uhandisi. Wakati: kipindi cha baada ya masomo ya upili na…
- Question 9: c) Juhudi ni mhusika mwenye bidii. Bainisha sifa nyingine mbili za Juhudi kulingana na novela hii. (al. 2)Answer: Mwenye weledi (akili): aling'ara katika sayansi. Mnyenyekevu: aliongoza wenzake kwa unyenyekevu.
- Question 10: d) Ploti ni mtiririko wa matukio. Eleza mfuatano wa matukio muhimu katika aya ya nne na ya tano. (al. 2)Answer: Aya ya nne: Juhudi anazolea tuzo, anawajengea wazazi jumba na kuweka akiba. Aya ya tano: wakazi wanajivunia,…
- Question 11: e) Tambua mbinu mbili za lugha (mfano: Majazi, Tashhisi, au Istiara) zilizotumiwa katika sehemu hii ya novela. (al. 2)Answer: Majazi: jina Juhudi linaonyesha bidii. Tashhisi: "banda lililokuwa likilia kwa uzee".
- Question 12: a) Bainisha aina mbili za mandhari katika sehemu hii ya mazungumzo. (al. 2)Answer: Mandhari ya mahali: bustani ya Bwana Busara. Mandhari ya wakati: alfajiri.
- Question 13: b) Eleza mambo mawili yaliyoangaziwa katika sehemu hii ya mazungumzo. (al. 2)Answer: Uharibifu wa mazingira (ukataji wa miti), na harakati ya kuhifadhi msitu kwa ushirikiano.
- Question 14: c) Fafanua sifa za Uharibifu kama zinavyojitokeza katika sehemu hii ya mazungumzo. (al. 2)Answer: Ni mzalendo anayejali mazingira (analeta habari za msitu), na ni mwajibikaji (anaahidi kuwahamasisha vijana).
- Question 15: d) Eleza umuhimu wa maneno yaliyotiwa kwenye mabano katika sehemu hii ya mazungumzo. (al. 2)Answer: Yanaonyesha matendo na hisia za wahusika, na yanaeleza mandhari ya mazungumzo.
- Question 16: (e) Mbinu ya methali imetumiwa katika sehemu hii. Tambulisha mbinu nyingine mbili za lugha zilizotumika (Mfano: Majazi, Istiara, Tashbihi…Answer: Majazi: jina Busara (mwenye hekima). Tashhisi: "Msitu wetu wa Maisha sasa hivi unalia kwa maumivu".
- Question 17: a) Eleza dhamira ya shairi hili. (al. 1)Answer: Kuhamasisha uzalendo, umoja na bidii ya kazi miongoni mwa wananchi ili kulinda na kuendeleza baraka na…
- Question 18: b) Shairi hili ni shairi la aina gani ? (al. 1)Answer: Tarbia: lina mishororo minne katika kila ubeti.
- Question 19: c) Ni nani anayelengwa na ujumbe wa shairi hili ? (al. 1)Answer: Wananchi wote wa nchi husika, hasa vijana.
- Question 20: d) Bainisha mbinu mbili za lugha zilizotumiwa katika shairi hili. (al. 2)Answer: Istiara: "Nchi yetu nayo ni taji". Tashbihi: "Mlima kama mnara".