CBC Grade 6 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Term 2: Midterm Assessment 2026 (Kusikiliza na Kuongea)
Test 9 — Term 2: Midterm Assessment 2026 (Kusikiliza na Kuongea) · Term 2: Midterm Assessment 2026 (Kiswahili Kusikiliza na Kuongea) · 16 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza.
All 16 questions with answers
- Question 1: Soma kifungu hiki kwa sauti.Answer: Katika kitovu cha milima ya Mbalamwezi, palikuwa na kijiji kilichoitwa Amani. Kijiji hiki hakikuwa cha…
- Question 2: Ni nini kilichokifanya kijiji cha Amani kijulikane kote nchini?Answer: Ukijani wake wa kustaajabisha na utulivu pamoja na juhudi za kuhifadhi mazingira.
- Question 3: Baraka alikuwa katika gredi gani?Answer: Gredi ya Sita.
- Question 4: Taja jina la mradi alioanzisha Baraka na lengo lake kuu.Answer: Jina: Mbingu ya Kijani. Lengo: Kupanda miti na kulinda mazingira.
- Question 5: Ni changamoto gani Baraka alikutana nayo kutoka kwa baadhi ya watu wazima?Answer: Watu wazima waliona mradi kama mchezo wa watoto na kupoteza muda ambao ungetumika shambani.
- Question 6: Baraka na wenzake walitumia nini kutengeneza mbolea ya mboji?Answer: Masalia ya vyakula na majani makavu.
- Question 7: Taja faida mbili zilizotokea baada ya mwaka mmoja wa mradi huo.Answer: Barabara zikawa za kijani zenye maua na matunda; ndege walirudi na watalii wakaanza kutembelea kijiji.
- Question 8: Mwalimu Mkuu wa shule ya Amani aliitwa nani?Answer: Bwana Mwema.
- Question 9: Kwa nini watalii walianza kuzuru kijiji cha Amani?Answer: Kwa sababu kijiji kilikuwa mfano wa mafanikio ya mazingira na uzuri wa kijani.
- Question 10: Andika methali moja inayoweza kutumiwa kuelezea bidii ya Baraka na wenzake.Answer: Haba na haba hujaza kibaba.
- Question 11: Unadhani ni nini funzo kuu la hadithi hii kwa wanafunzi?Answer: Ushirikiano na upendo kwa mazingira huleta mabadiliko chanya.
- Question 12: Kwa nini kijiji cha Amani kilijulikana?Answer: Ni kijani na kina mazingira mazuri na utulivu.
- Question 13: Baraka alikuwa gredi gani?Answer: Gredi ya sita.
- Question 14: Mradi wa Baraka ni upi?Answer: Mbingu ya Kijani - kupanda miti.
- Question 15: Changamoto ni ipi?Answer: Watu walidhani ni mchezo wa watoto.
- Question 16: Faida ya mazingira?Answer: Hewa safi na uzuri wa kijiji.