CBC Grade 5 Kiswahili End Term 3 Exam 2026: End of Year Assessment 2026 (Set 15) — Kusikiliza na Kuzungumza
Kiswahili — End of Year Assessment 2026 (Set 15) — Kusikiliza na Kuzungumza · End of Year Assessment 2026 (Set 15) — Kusikiliza na Kuzungumza · 11 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma.
All 11 questions with answers
- Question 1: Jitaje jina lako kamili.Answer: Jina langu ni Amina Wanjiru.
- Question 2: Unasoma shule gani?Answer: Ninasoma katika Shule ya Msingi ya Amani.
- Question 3: Taja jambo moja unalopenda kufanya wakati wa mapumziko.Answer: Ninapenda kucheza mpira wakati wa mapumziko.
- Question 4: Taja chakula unachopenda na kwa nini unakipenda.Answer: Ninapenda ugali kwa sababu unanipa nguvu.
- Question 5: Unapenda kuwa nini utakapokuwa mtu mzima? Eleza sababu.Answer: Ningependa kuwa daktari ili niwatibu wagonjwa.
- Question 6: 6A. Taja wanyama hawa: mnyama A.Answer: Tembo
- Question 7: 6B. Taja wanyama hawa: mnyama B.Answer: Duma
- Question 8: 6C. Taja wanyama hawa: mnyama C.Answer: Nyumbu
- Question 9: 6D. Taja wanyama hawa: mnyama D.Answer: Bata mzinga
- Question 10: 6E. Taja wanyama hawa: mnyama E.Answer: Kondoo
- Question 11: Soma kifungu kifuatacho kwa sauti, kwa ufasaha na kwa matamshi yanayofaa.Answer: Teknolojia Katika Maisha Yetu Teknolojia imekuwa sehemu muhimu ya maisha ya kila siku. Shuleni, nyumbani na…