CBC Grade 4 Kiswahili Mid Term 2 Exam 2026: Term 2 Midterm Assessment 2026 (Kusikiliza na Kuzungumza)
Kiswahili — Term 2 Midterm Assessment 2026 (Kusikiliza na Kuzungumza) · Term 2 Midterm Assessment 2026 (Kusikiliza na Kuzungumza) · 5 questions
Topics: Kusoma, Kusikiliza na Kuzungumza.
All 5 questions with answers
- Question 1: Soma ushairi huu kwa sauti mbele ya mwalimu wako kwa madaha na matamshi bora:Answer: BENDERA YETU TEULE Rangi za bendera yetu, kumbukumbu za daima, Nyeusi ni rangi yetu, ngozi ya Waafrika sote,…
- Question 2: Mwalimu: Hujambo mwanafunzi?Answer: Sijambo mwalimu, asante.
- Question 3: Mwalimu: Unaitwa nani na una umri wa miaka mingapi?Answer: Ninaitwa Amina na nina umri wa miaka tisa.
- Question 4: Mwalimu: Taja mambo mawili muhimu unayofanya kujikinga na magonjwa.Answer: Mimi hunawa mikono kwa maji safi na sabuni, na pia hunywa maji safi yaliyochemshwa.
- Question 5: Mwalimu: Ni rangi gani ya bendera ya Kenya unayoipenda zaidi, na kwa nini?Answer: Ninapenda rangi nyeupe zaidi kwa sababu inawakilisha amani nchini Kenya.