CBC Grade 2 Kiswahili Revision Exam 2026: Revision Paper 1 (2026)
Kiswahili — Revision Paper 1 (2026) · Revision Paper 1 (2026) · 36 questions
Topics: Kusikiliza na Kuzungumza, Kusoma, Sarufi na Matumizi ya Lugha, Kuandika.
All 36 questions with answers
- Question 1: Je, jikoni ni wapi?Answer: Jikoni ni mahali pa kupikia chakula.
- Question 2: Taja vyombo viwili vinavyopatikana jikoni.Answer: Sufuria na sahani.
- Question 3: Nani hutayarisha chakula nyumbani?Answer: Mama hutayarisha chakula.
- Question 4: Chakula cha asubuhi huitwa?Answer: Kiamsha kinywa.
- Question 5: SEHEMU B: KUSOMA KWA SAUTI Soma hadithi hii kwa sauti.Answer: Amani alikwenda kulisha kuku wao. Alimkuta kuku mmoja amenaswa kwenye nyasi. Amani alimtoa polepole. Kuku…
- Question 6: Wanafunzi wa darasa la pili hupenda kufanya nini?Answer: Hupenda michezo.
- Question 7: Taja mchezo mmoja uliotajwa katika kifungu hiki.Answer: kukimbia
- Question 8: Michezo huwasaidia watoto kuwa na nini?Answer: afya
- Question 9: Walimu huwambia watoto wacheze vipi?Answer: kwa amani na kuheshimiana
- Question 10: Wewe unapenda mchezo gani? Kwa nini?Answer: Ninapenda kucheza mpira kwa sababu unanipa afya.
- Question 11: Tumia 'mimi' au 'sisi' kukamilisha sentensi. a) ___ tunapenda kucheza kandanda.Answer: B. Sisi
- Question 12: b) ___ ninaenda sokoni.Answer: A. Mimi
- Question 13: c) ___ tunacheza vizuri.Answer: B. Sisi
- Question 14: Kanusha sentensi zifuatazo. a) Mimi ninacheza.Answer: Mimi sichezi.
- Question 15: b) Sisi tunakula.Answer: Sisi hatuli.
- Question 16: c) Mimi nitakimbia.Answer: Mimi sitakimbia.
- Question 17: Andika wingi wa maneno haya. a) MlangoAnswer: Milango
- Question 18: b) SikioAnswer: Masikio
- Question 19: c) JichoAnswer: Macho
- Question 20: Jaza pengo kwa kutumia jibu sahihi. a) Gari ___Answer: B. baya
- Question 21: b) Mwanafunzi ___Answer: A. mbaya
- Question 22: c) Maji ___Answer: A. mabaya
- Question 23: Tumia "-angu" au "-etu" kujaza pengo. a) KitabuAnswer: Kitabu changu
- Question 24: b) MikonoAnswer: Mikono yangu
- Question 25: c) WalimuAnswer: Walimu wangu
- Question 26: d) MguuAnswer: Mguu wangu
- Question 27: Andika majina ya picha hizi. a)Answer: kikombe
- Question 28: b)Answer: ndizi
- Question 29: c)Answer: kifungo
- Question 30: Andika jibu la maamkuzi haya. a) Hujambo?Answer: C. sijambo
- Question 31: b) Habari?Answer: B. njema
- Question 32: SEHEMU 5: KUANDIKA Andika maneno utakayosomewa na mwalimu. Neno la 1Answer: jikoni
- Question 33: Neno la 2Answer: kuku
- Question 34: Neno la 3Answer: mpira
- Question 35: Neno la 4Answer: shule
- Question 36: Neno la 5Answer: sufuria