CBC Grade 1 Kiswahili Revision Exam: Revision 4 Kiswahili Activities (Test 7)
Revision 4 Kiswahili Activities · 37 questions
Topics: Darasani, Mwili Wangu, Tarakimu, Familia, Siku za Wiki.
All 37 questions with answers
- Question 1: Mwalimu: “Hujambo?” Bonyeza kitufe cha kurekodi, jibu kwa sauti, kisha ukamilishe.Answer: Sijambo.
- Question 2: Mwalimu: “Jina lako ni nani?” Jibu kwa sauti.Answer: Jina langu ni (jina lako). / Naitwa (jina lako).
- Question 3: Mwalimu: “Leo ni siku gani?” Jibu kwa sauti.Answer: Leo ni (siku ya wiki).
- Question 4: Mwalimu: “Shule yenu inaitwa aje?” Jibu kwa sauti.Answer: Shule yetu inaitwa (jina la shule).
- Question 5: Mwalimu: “Uko na umri wa miaka mingapi?” Jibu kwa sauti.Answer: Nina miaka (sita).
- Question 6: Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Answer: baba
- Question 7: Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Answer: kiti
- Question 8: Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Answer: maji
- Question 9: Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Answer: samaki
- Question 10: Sikiliza neno, kisha uliandike sawasawa.Answer: chai
- Question 11: Andika neno hili kwa herufi ndogo: MKATEAnswer: mkate
- Question 12: Andika neno hili kwa herufi kubwa: nyumbaAnswer: NYUMBA
- Question 13: Andika neno hili kwa herufi kubwa: dawatiAnswer: DAWATI
- Question 14: Andika neno hili kwa herufi ndogo: SHULEAnswer: shule
- Question 15: Andika neno hili kwa herufi ndogo: KALAMUAnswer: kalamu
- Question 16: Unda neno: ma + ma =Answer: mama
- Question 17: Unda neno: ke + ki =Answer: keki
- Question 18: Unda neno: Fo + mu =Answer: Fomu
- Question 19: Unda neno: ga + ri =Answer: gari
- Question 20: Andika wingi wa neno hili: mlangoAnswer: milango
- Question 21: Andika wingi wa neno hili: janiAnswer: majani
- Question 22: Andika wingi wa neno hili: mlimaAnswer: milima
- Question 23: Tumia ‘mimi’ au ‘sisi’ kujaza nafasi: __ ninasoma kitabu.Answer: A. Mimi
- Question 24: Tumia ‘mimi’ au ‘sisi’ kujaza nafasi: __ tunaruka kamba.Answer: B. Sisi
- Question 25: Tumia ‘mimi’ au ‘sisi’ kujaza nafasi: __ tunacheza mpira.Answer: A. Sisi
- Question 26: Tumia ‘mimi’ au ‘sisi’ kujaza nafasi: __ ninaimba wimbo.Answer: B. Mimi
- Question 27: Jibu maamkuzi haya kwa kuchagua jibu sahihi: Shikamoo __.Answer: A. marahaba
- Question 28: Jibu maamkuzi haya kwa kuchagua jibu sahihi: Hujambo __.Answer: B. sijambo
- Question 29: Jibu maamkuzi haya kwa kuchagua jibu sahihi: Habari __.Answer: A. nzuri
- Question 30: Jibu maamkuzi haya kwa kuchagua jibu sahihi: Hamjambo __.Answer: B. hatujambo
- Question 31: Soma hadithi kisha ujibu swali: Karembo na Katana ni ___.Answer: marafiki
- Question 32: Soma hadithi kisha ujibu swali: Katana anapenda somo la ___.Answer: hisabati
- Question 33: Soma hadithi kisha ujibu swali: Katana anapenda mchezo wa ___.Answer: kandanda
- Question 34: Soma hadithi kisha ujibu swali: Nani anapenda kuimba?Answer: Karembo
- Question 35: Soma hadithi kisha ujibu swali: Wao huishi katika kijiji cha ___.Answer: Mwema
- Question 36: Soma maneno haya kwa sauti, moja baada ya jingine.Answer: Soma kila neno polepole na kwa sauti iliyo wazi. Kila neno ulilosoma sawasawa linakupa alama.
- Question 37: Soma sentensi hizi kwa sauti.Answer: Soma sentensi moja baada ya nyingine. Simama kidogo mwishoni mwa kila sentensi kisha uendelee.