CBC Grade 1 Kiswahili Exam: Kiswahili Kusoma Section A (Test 14)
Kiswahili Kusoma Section A · 3 questions
Topics: Mwili Wangu, Familia.
All 3 questions with answers
- Question 1: Kusoma — Soma kila mstari wa maneno kwa sauti. Rekodi mistari yote mitatu kwa rekodi moja. giza shangazi mjomba mvua hewa ngamia mtoto…Answer: giza shangazi mjomba mvua hewa. ngamia mtoto kijana chakula tunda. amka cheza andika duka jino.
- Question 2: Taja picha hizi. Andika majibu a–e, kila jibu kwenye mstari wake.Answer: a) sufuria b) jicho c) chupa d) mwiko e) penseli
- Question 3: Kusoma — Soma sentensi hizi kwa sauti, kutoka juu hadi chini. Rekodi sentensi zote tano kwa rekodi moja. Mwalimu anafunza. Yule ni mbwa…Answer: Mwalimu anafunza. Yule ni mbwa wetu. Andika kitabu. Maji yamemwagika. Wanafunzi wanacheza.