CBC Grade 1 Kiswahili Mid Term Exam: General Midterm Assessment (Test 11)
General Midterm Assessment · 35 questions
Topics: Darasani, Mwili Wangu, Tarakimu, Mimi na Wenzangu, Siku za Wiki.
All 35 questions with answers
- Question 1: Mwalimu: Una umri wa miaka mingapi?Answer: Nina umri wa miaka sita.
- Question 2: Mwalimu: Rafiki yako ni nani?Answer: Rafiki yangu ni Amina.
- Question 3: Mwalimu: Una vidole vingapi?Answer: Vidole kumi.
- Question 4: Mwalimu: Taja chakula ukipendacho?Answer: Ninapenda kula ugali na maharagwe.
- Question 5: Mwalimu: Taja sehemu mbili za mwili?Answer: Sehemu mbili za mwili ni mkono na mguu.
- Question 6: Soma kifungu hiki kwa sauti, kwa Kiswahili:
- Question 7: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:
- Question 8: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:
- Question 9: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:
- Question 10: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:
- Question 11: Soma sentensi hii kwa sauti, kwa Kiswahili:
- Question 12: Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu.…Answer: Ijumaa
- Question 13: Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu.…Answer: Jekundu
- Question 14: Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu.…Answer: Mboga, mahindi na maharagwe.
- Question 15: Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu.…Answer: Mimi
- Question 16: Soma ufahamu huu kisha ujibu swali. Siku ya Ijumaa tulienda sokoni. Tulipanda gari jekundu la baba. Nilikuwa na baba na mama yangu.…Answer: Jioni
- Question 17: Tumia '-baya' au '-zuri' kujaza nafasi. Chakula hiki ni ___ sana; nimekula kingi.Answer: kizuri
- Question 18: Ajali iliyofanyika ilikuwa ___ sana.Answer: mbaya
- Question 19: Alama zake zilikuwa ___ akapewa zawadi.Answer: nzuri
- Question 20: Bustani yetu ina maua ___ yanapendeza.Answer: mazuri
- Question 21: Tumia '-angu' kwa usahihi. Jina ___ ni Juma.Answer: langu
- Question 22: Mwalimu ___ ameenda darasani.Answer: wangu
- Question 23: Dada ___ anaitwa Zubeda.Answer: yangu
- Question 24: Kalamu ___ imepotea.Answer: yangu
- Question 25: Nyumba ___ ni ya rangi nyekundu.Answer: yangu
- Question 26: Tumia '-etu' kwa usahihi. Gari ___ limebeba abiria wengi.Answer: letu
- Question 27: Dawati ___ limevunjika.Answer: letu
- Question 28: Shule ___ ina wanafunzi wengi.Answer: yetu
- Question 29: Kalamu ___ zinapendeza.Answer: zetu
- Question 30: Wazazi ___ wamefika mkutanoni.Answer: wetu
- Question 31: Jaza pengo. Alh___m___si.Answer: Alhamisi
- Question 32: Ij___ma___.Answer: Ijumaa
- Question 33: Jum___nn___.Answer: Jumanne
- Question 34: Jum___t___no.Answer: Jumatano
- Question 35: Andika sentensi tano kuhusu 'MWALIMU WANGU'.Answer: Mwanafunzi aandike sentensi tano rahisi, sahihi na zinazomhusu mwalimu wake.